Genesis 21:32-34

32 aBaada ya mapatano kufanyika huko Beer-Sheba, Abimeleki na Fikoli mkuu wa majeshi yake wakarudi katika nchi ya Wafilisti. 33 bIbrahimu akapanda mti wa mkwaju huko Beer-Sheba, na hapo akaliitia jina la Bwana Mwenyezi Mungu wa Milele. 34 cNaye Ibrahimu akakaa katika nchi ya Wafilisti kwa muda mrefu.
Copyright information for SwhKC